Salma Shija Masanja (47) mkulima kiongozi katika Kijiji cha Bungi mkoa wa Kusini Unguja, anasema licha ya kulima kilimo mseto eneo analolima si lake. Anasema ameazimwa hivyo huishia kulima mazao ya ...