Mtu aliyebuni jina la nchi ya Tanzania, Mohammed Iqbal Dar mwenye asili ya India, amefariki dunia huko Birmigham, Uingereza akiwa na umri wa miaka 80. Amefariki usiku wa kuamkia leo nchini Uingereza ...
Dar es Salaam. Mohammed Iqbal Dar mbunifu wa jina la Tanzania, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80 jijini Birmingham, Uingereza, ambako aliishi tangu ahamie mwaka 1965. Kifo chake kimetokea ...