Baada ya kuzuru Kinshasa, Mbunge wa Marekani Dk. Ronny Jackson ameendelea na ziara yake siku za hivi karibuni katika mji mkuu ...
Taifa la Qatar limekuwa msitari wa mbele katika juhudi za kutafuta amani kwenye baadhi ya mizozo inayoathiri maeneo kadhaa ...
Madai ya unyanyasaji wa kijinsia na unyonyaji katika ujumbe wa kulinda amani na ule wa kisiasa wa Umoja wa Mataifa, vimeshika ...
Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamekutana Harare, Zimbabwe pamoja na mambo mengine wamejadili suala la amani Mashariki mwa Jamhuri ya ...
Angola imekuwa ikijaribu kuwa mpatanishi kwa lengo kufikia hatua ya kusitisha mapigano la kudumu na kupunguza mvutano kati ya ...
Wiki hii yatashuhudiwa matukio muhimu kuhusu vita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambapo mazungumzo ya amani ...
Uamuzi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuondoa vikosi vyake vya kulinda amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), unatajwa kuwa mbinu ya kushinikiza njia ...
Kadhalika, viongozi na wakuu wa nchi hizo, EAC, SADC na Afrika kwa ujumla wazidi ‘kukuna vichwa’ wakimwomba Mungu wapate ...
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ameonya juu ya mmomonyoko mkubwa wa mfumo unaoibua kitisho kwenye ukuaji na utulivu wa dunia. Mawaziri wa fedha wa G20 wanakutana Afrika Kusini. Ramaphosa ...
Bila shinikizo wachague wanakotaka kuhamia Masharti ya M23 kwa MONUSCO yanakwamisha operesheni Kampeni za habari potofu na uongo zatishia maisha ya walinda amani Maelfu ya raia wa Jamhuri ya ...
Ni jambo la msingi, kama ilivyoainishwa kwenye tamko la mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Muungano wa Afrika, AU, uliofanyika Addis Ababa tarehe 14 Februari, kuhakikisha kwamba mafanikio haya ...
MWANAMUZIKI mwenye asili ya DR Congo, Christian Bella, leo Februari 16, 2025, amesema viongozi wa Afrika wanatakiwa kushikamana ili kulinda amani. Nyota huyo wa muziki wa dansi na hata wa kizazi kipya ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果