Mwanzoni mwa mwezi wa Desemba, miezi mitatu iliyopita, waasi wa FLA na wanajihadi wa Jnim, wanaohusishwa na al-Qaeda, walianzisha mazungumzo mapya, kwa wazo la kuchanganya juhudi zao zaidi.
Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dk Jabiri Bakari. Picha na Janeth Mushi Arusha. Serikali imesema kila mwananchi ana wajibu wa kujilinda dhidi ya utapeli na ulaghai wa mtandaoni ikiwemo kutotoa taarifa zake ...