Kwa kufunga ‘hat trick’ hiyo, Mukwala anakuwa mchezaji wa kwanza wa Simba kufanya hivyo katika Ligi Kuu msimu huu huku akiwa wa tatu baada ya nyota wawili wa Yanga, Prince Dube na Stephane Aziz Ki ...