Kiungo huyo raia wa Colombia ambaye kwa sasa anaitumikia Leon ya Mexico amesema kama si uwepo wa mastaa hao, basi Neymar angetwaa tuzo tatu za Ballon d’Or. Kiungo huyo mwenye miaka 33, sasa amesema ...