资讯

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete, leo amezindua rasmi Bodi mpya ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na kutoa maelekezo ...
Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani WHO leo limesema mamilioni ya vifo vtokanavyo na homa ya uti wa mgongo au meningitis vinaweza kuepukwa ikiwa nchi zitaweza kuanzisha miongozo mipya ...
Kata Ibadakuli yaona fursa mpya kiuchumi "UVCCM wilaya ya Shinyanga Mjini, tumeridhishwa na kazi kubwa ambayo anaifanya Rais wetu Dk.Samia Suluhu Hassan ya utekelezaji wa Ilani ya CCM pamoja na ...
BAO la kichwa dakika ya 34 likifungwa na kiungo Pacome Zouzoua, limetosha kuipa Yanga ushindi wa 1-0 dhidi ya Coastal Union ikiendelea kujichimbia juu ya msimamo wa Ligi Kuu Bara huku kiungo huyo ...
Nenda kwenye ukurasa wa kwanza / Afrika Mashariki mwa DRC: Umoja wa Afrika wapendekeza Faure Gnassingbé kuwa mpatanishi mpya Jina la rais wa Togo limependekezwa kuchukua mwenge wa upatanishi kati ...
Kampuni hiyo mapema ilitangaza itaanza kupokea maagizo ya awali kwa ajili ya konsoli zake mpya mnamo Aprili 9 na kuachia bidhaa hiyo mwezi Juni. Maafisa katika ofisi ya kampuni hiyo nchini ...
Meli ya utafiti wa bahari na samaki, Dk Fridtjof Nansen kutoka Norway, inatarajiwa kuanza utafiti wake nchini. Utafiti huo unalenga kubaini aina mpya za samaki, hatua ambayo itasaidia Serikali ...
Kulingana na duru kutoka Syria, serikali hiyo mpya haitokuwa na nafasi ya waziri mkuu na Al sharaa aliyeongoza mapambano ya kumuondoa Bashar Al Assad madarakani, anaesemekana kuwa uhamishoni ...
Dirisha la usajili la majira ya kiangazi la mwaka jana lilifungwa Agosti 31, 2024, na hili la mwaka huu litafunguliwa rasmi Juni 12. Hata hivyo, mpango mpya wa dirisha la mwaka huu ni kufungwa Agosti ...
SERA ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 (Toleo la 2023) itaendelea kudumisha kanuni sita za Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995. Kwa mujibu wa sera hiyo, ardhi ina thamani na itatambuliwa katika miamala ...
Ugaidi na makundi yenye itikadi kali, uhalifu wa kupangwa, utumiaji silaha wa teknolojia mpya na athari za mabadiliko ya tabianchi ni baadhi ya vikwazo vya hivi karibuni vinavyokabili ujumbe wa Umoja ...
Akizungumza nyumbani kwake kuhusiana na tukio hilo, Mng'ong'o ameeleza kuwa ni wiki moja tangu watu wasiojulikana kufika nyumbani hapo kuiba tairi jipya la gari hilo aina ya Nisan Xtrail.