Kwa hapa nyumbani mashabiki wa klabu hizo wanasubiri baada ya dakika 90 kwa kila mchezo kuanza kutambiana na kuchekana kwa kile kitakachotokea kwenye michezo hiyo. Kimsingi klabu hizi zote ...
Idadi ya magari ya umeme inaripotiwa kuongezeka barabarani na kwa Kenya, mradi wa Tusonge na EVs , unaosimamiwa na shirika la umoja wa mataifa la mazingira, UNEP, ulizinduliwa miezi tisa iliyopita.
Makamu huyo wa zamani wa rais, aliyechukua nafasi ya Rais John Magufuli, aliyefariki dunia ghafla mweziMachi 2021, alionyesha dalili za uwazi alipoingia madarakani, hasa akiidhinisha vyombo vya ...
MATEKA WATAACHIWA MUDA MFUPI UJAO. ASANTENI!" Mkurugenzi wa Mkuu wa Afya wa Kenya Dkt Patrick Amoth amesema taifa fa hilo liko katika hali ya tahadhari baada ya ugonjwa unaoshukiwa kuwa wa Marburg ...
SERIKALI imewaomba wadau wa soka kuunga mkono timu ya taifa ‘Taifa Stars’ katika maandalizi ya kujiandaa na michuano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani ‘CHAN’ yatakayofanyika Agosti mwaka huu ...
Tayari sampuli kutoka kwa wagonjwa wawili zimekusanywa na kufanyiwa uchunguzi kwenye maabara ya Taifa ya Afya ya Umma nchini Tanzania na majibu yanasubiriwa ili kuthibitisha iwapo ni homa ya Marburg ...
Taifa Stars imeshiriki fainali za Chan mara mbili na fainali za 2024 zitakazofanyika Agosti 2025 zitakuwa za tatu. Tanzania imepangwa katika kundi B la mashindano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ...
JUMLA ya megawati 30 za jotoardhi zinatarajiwa kuingizwa kwenye Gridi ya Taifa ifikapo mwaka 2026/2027 Hii inafuatia uwepo wa Megawati 5000 za umeme na Megawati 15000 za Joto kwa ajili ya matumizi ya ...
Kwa muda mrefu Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limekuwa likitoa mchango mkubwa katika kusaidia maendeleo ya sekta ya michezo hapa nchini. Kwa miaka mingi tumeshuhudia uwekezaji ambao JKT inafanya kwa ...
Utawala bora wa sheria, elimu, afya, uchumi na familia ni miongoni mwa vinavyopaswa kufanyiwa kazi zaidi katika uandaaji wa dira ya Taifa 2050, imeelezwa. Hayo yameelezwa leo Jumatatu, Januari 13, ...
Chini ya Kanuni ya Adhabu ya Kenya, mtu yeyote anayejaribu kujiua ana hatia ya kosa ambalo linaweza kuadhibiwa kwa hadi miaka miwili jela, faini, au vyote kwa pamoja. Uhalifu ambao ulipigwa vita ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果