Kaunda ambaye ni wakili wa Mahakama Kuu, alilalamika kuwa uamuzi wa Spika ulikiuka ibara ya 71(1)(e) ya Katiba inayosema mbunge atakoma kuwa mbunge iwapo atahama kutoka chama kilichomdhamini kugombea ...
Hatungeweza kusimulia watoto wetu maisha ya fedheha kama hayo. Tunamshukuru wakili wetu, tulipata faraja na ukakamavu wa kutoa ushahidi.'' Chanzo cha picha, Michèle Hirsch Maelezo ya picha ...
Mahakama iliwaruhusu Mawakili wa Jamhuri na upande wa utetezi kuwasilisha hoja zao kabla ya kutoa adhabu. Wakili wa Serikali Mwandamizi Ellen Masululi alidai Jamhuri haina kumbukumbu ya makosa mengine ...