Shirikisho la Soka Rwanda (Ferwafa), limemtangaza mchana huu Amrouche, kuwa kocha wa timu ya Taifa hilo maarufu kama 'Amavubi'. Mbali na Amrouche, Ferwafa imewatangaza makocha wawili wazawa, Erick ...