Fatma Ally, binti anayefanya kazi katika magari ya Tilisho Safaris, amewataka wasichana kuachana na mtazamo hasi dhidi ya kazi ya ukondakta na kutambua kuwa ni kazi halali inayoweza kubadilisha maisha ...