资讯

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imesema noti za Sh. 10,000 na 5,000 ambazo ni toleo la 2010 na marejeo yake zinaendelea kutumika na hivyo hazihusiki kwenye zoezi hili la ubadilishwaji linaloendelea.
Kwa mujibu wa Manyeko, baadhi ya wabunge wanaomaliza muda wao wamewekeza zaidi kwa wajumbe, si kwa wananchi. “Kilio chetu kama wakazi wa Tanga kipo kwa wajumbe wanaowapitisha hawa wagombea. Baadhi ya ...
Hawa tayari wana utawala wao kikosi cha kwanza. Hilo kwa upande mwingine limewafanya baadhi kusugua benchi au wakipata nafasi kiduchu ya kucheza. Ni wazi wana wakati mgumu kwenye kikosi hiho ...