KLABU ya Yanga imesema msafara wa wachezaji na viongozi wa MC Alger kutoka Algeria uliotarajiwa kuwasili nchini jana alfajiri haujaonekana, hivyo hali hiyo imewataka kuongeza umakini kuelekea mchezo ...