资讯

Watu wa asili ni chini ya 6% ya idadi ya watu duniani lakini wanalinda 80% ya bioanuwai ya dunia. Azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za Watu wa Asili (UNDRIP) lilipitishwa na Baraza Kuu la Umoja ...
Rais wa Venezuela Nicolas Maduro amemwita mwenzake wa Salvador, Nayib Bukele, "mkiukaji wa haki za binadamu" baada ya kujitolea kubadilishana Wavenezuela 252 waliozuiliwa nchini mwake baada ya ...
DAR ES SALAAM – VIONGOZI wa dini ya Kikristo katika Ibada ya Ijumaa Kuu wamewataka waumini kutafakari maisha yao kwa kina, kusimama katika ukweli, haki na kutubu dhambi kwa moyo wa toba ya kweli.
Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Kiteto, Isaya Chambala amesema amani ya kweli haiji bila haki, huku akiwataka viongozi wanapohubiri amani kukumbuka kutenda haki. Askofu Chambala amesema hayo ...
Mbunge wa Mbogwe (CCM), Nicodemas Maganga. Mbunge wa Mbogwe (CCM), Nicodemas Maganga, amewaomba watanzania na viongozi wa dini kuombea uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka huu huku akiwaasa wenzake ...
Unguja. Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (Zaeca) imesema rushwa imekuwa kikwazo katika mchakato wa uchaguzi na kusababisha kupotea kwa haki za wapiga kura na kuathiri matokeo ya ...