Mkutano mpya kati ya timu za Ukraine na Marekani kuhusu usitishwaji vitakati ya Kyiv na Moscow unaendelea mjini Riyadh, siku moja baada ya kumalizika kwa duru ya kwanza ya majadiliano kati ya ...
Ripoti zinasema, wapiganaji wa Mai Mai wanaoshirikiana na Wazalendo walishambulia ngome ya M23 saa 11 Alfajiri siku ya jumatano, na kusababisha makabiliano makali. Wakaazi wa eneo hilo na ...
"Hicho ndicho anachofanya Rais Trump," alisema. Zelensky aliingilia kati, akirejelea uchokozi wa Urusi katika miaka ya kabla ya uvamizi wake rasmi miaka mitatu iliyopita ikiwa ni pamoja na ...
Mapigano ya moja kwa moja kati ya majeshi mawili makubwa zaidi barani Afrika yataashiria kikomo cha maridhiano ya kihistoria ambayo yalimpa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed, Tuzo ya Amani ya ...
Hatua hizi zinawakilisha hatua muhimu za kujengeana imani ambazo zinaweza kuwezesha mazungumzo zaidi kati ya wahusika wote muhimu kuelekea kupunguza vita kati ya Urusi na Ukraine. Katibu Mkuu ...
Serikali iliweka lengo la kuhakikisha korosho yote inaongezwa thamani hapa nchini kwa kutenga eneo kwa ajili ya kujenga kongani ya viwanda mkoani Mtwara likiwa na ekari 1,518. Kati ya ekari hizo, 354 ...
Hiyo ni baada ya kuahirishwa kwa mchezo huo namba 184 wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Simba... SWALI ambalo huko mtaani mashabiki wanajiuliza ni kwamba, hiyo mechi ya Kariakoo Dabi ipo au haipo?
Profesa Mkumbo amesema Ofisi ya Msajili wa Hazina inasimamia jumla ya taasisi 308 ambapo kati ya hizo 56 ni zile ambazo Serikali ina umiliki wa hisa chache. Kupitia taasisi hizo uwekezaji wa Sh86.3 ...
HUKO mtaani hadi mtandaoni, gumzo ni taarifa zilizovuja mapema Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amepewa kibano kwa kufungiwa kutokana na kukutwa na hatia ya kutoa maneno ya kejeli kwa waamuzi, hata ...
Ajali ya lori la mafuta na mizigo yaua wawili Morogoro. Watu wawili wamefariki dunia baada ya kuteketea kwa moto uliosababishwa na mlipuko kufuatia ajali ya uso kwa uso kati ya gari la mafuta ...
Msimu huu ukiondoa farasi hao wawili kwenye mbio za ubingwa, shughuli pevu ya jasho na damu ipo pia katika kuwania nasi ya tatu na ya nne, ambapo kumeonekana kuna upinzani mkali kati ya Azam FC, ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果