Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, ameungana na wanawake katika kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kutoa ripoti tatu ...
Trump alalamikia mkataba wa usalama kati ya Japani na Marekani Alisema kiasi cha fedha walichotumia “kwa kweli hakitoshi.” Trump pia alisema, “Kama hawatalipa, Sitawalinda.” ...
Katika kuelekea siku ya kimataifa ya wanawake ambayo huadhimishwa kila mwaka Machi 8 leo hapa katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa kunafanyika hafla maalum ya kuadhimisha siku hiyo ambayo mwaka huu ...
kama inavyooneshwa na mageuzi ya kisheria 1,531 yaliyoidhinishwa katika nchi na maeneo 189 kati ya 1995 na 2024. Hii inaonesha kuwa haki za wanawake zinapoheshimiwa kikamilifu katika nchi wanazoishi, ...
Kati ya mateka 251 waliotekwa nyara Oktoba 7, 62 wamesalia Gaza, 35 kati yao walifariki, kulingana na jeshi la Israeli.Kwa mujibu wa Hamas, ni mateka wanne tu waliofariki ambao bado hawajarudishwa ...
Mmoja kati ya wake za kiongozi wa kundi la waasi LRA Joseph Kony pamoja na watoto wake watatu wamewasili Uganda kutoka nchi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati usiku wa mkesha wa Jumatano. Kurudi kwao ...
Dodoma. Watoto wawili kati ya 100 huzaliwa na tatizo la moyo nchini kila mwaka, huku wataalamu wakibainisha kuwa wengi hawagunduliki mapema na hufariki wakitibiwa magonjwa mengine ikiwemo kukosa pumzi ...
Ripoti inabainisha asilimia 22.3 ya wahitimu wa vyuo vikuu ndio waliopata nafasi ya kuajiriwa katika sekta rasmi, huku nyingine zikijazwa na wahitimu wa vyuo vya kati, ufundi, shule za sekondari, ...
Nchini Sudani Kusini, mvutano kati ya wanajeshi wa Rais Salva Kiir na wale wa Makamu wa Rais Riek Machar umekuwa ukiongezeka tangu mwanzoni mwa mwaka huu katika jimbo la Equatoria Magharibi.
Mjumbe maalum wa Marekani katika Mashariki ya Kati George Mitchell anafanya ziara yake ya pili katika kanda hiyo katika juhudi ya kufufua majadiliano ya amani kati ya Waisraeli na Wapalestina.