Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, ameungana na wanawake katika kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kutoa ripoti tatu ...
Katika ishara mpya ya kufufua uhusiano wa kidiplomasia unaloendelea kati ya Ufaransa na Morocco, Waziri wa Sheria wa Ufaransa, Gérald Darmanin, anatarajiwa mjini Rabat Jumapili Machi 9, ambako ...
Yanga imetoa msimamo mzito ikisema haitakubali kurudiana na Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara namba 184 huku ikidai pointi tatu baada ya mpinzani kushindwa kutokea uwanjani. Taarifa ya Yanga ...
Trump alalamikia mkataba wa usalama kati ya Japani na Marekani Alisema kiasi cha fedha walichotumia “kwa kweli hakitoshi.” Trump pia alisema, “Kama hawatalipa, Sitawalinda.” ...
Anasema, "kupungua kwa misaada ya kigeni duniani inaleta tishio kubwa kwa shughuli zetu katika Afrika Magharibi, hasa katika Sahel ya Kati na Nigeria, kwa kuwa mamilioni ya watu watakumbwa na kiwango ...
kama inavyooneshwa na mageuzi ya kisheria 1,531 yaliyoidhinishwa katika nchi na maeneo 189 kati ya 1995 na 2024. Hii inaonesha kuwa haki za wanawake zinapoheshimiwa kikamilifu katika nchi wanazoishi, ...
Kati ya mateka 251 waliotekwa nyara Oktoba 7, 62 wamesalia Gaza, 35 kati yao walifariki, kulingana na jeshi la Israeli.Kwa mujibu wa Hamas, ni mateka wanne tu waliofariki ambao bado hawajarudishwa ...
Siku ya Jumanne, Februari 25, mtoa huduma wa miundombinu ya mawasiliano ya simu Railtel Corporation Ltd. na muungano wake walitangaza kuwa Reli ya Kati ya Kusini ilikuwa imewapa agizo la kufanya kazi ...
Mmoja kati ya wake za kiongozi wa kundi la waasi LRA Joseph Kony pamoja na watoto wake watatu wamewasili Uganda kutoka nchi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati usiku wa mkesha wa Jumatano. Kurudi kwao ...
Dodoma. Watoto wawili kati ya 100 huzaliwa na tatizo la moyo nchini kila mwaka, huku wataalamu wakibainisha kuwa wengi hawagunduliki mapema na hufariki wakitibiwa magonjwa mengine ikiwemo kukosa pumzi ...
Ripoti inabainisha asilimia 22.3 ya wahitimu wa vyuo vikuu ndio waliopata nafasi ya kuajiriwa katika sekta rasmi, huku nyingine zikijazwa na wahitimu wa vyuo vya kati, ufundi, shule za sekondari, ...