Clement Mzize ni Jina kubwa kwa sasa kwenye soka la Bongo. Kipaji murua cha kizawa. Kwenye akauti za mitandao za Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuna picha na video zake likiwamo moja ya mabao yake ...