Mechi hiyo ilipigwa kwenye Uwanja wa Nyamagana, Mwanza na Yanga ilipindua meza kwa ushindi wa 2-1 baada ya kutanguliwa kwa bao la mapema la Adam Sabu 'Gerd Muller' kabla ya kuchomoa bao katika dk 87 ...
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiwa wameongozana na askari kwenda kituo kikuu cha Polisi jijini Mwanza kabla hawajaachiwa. Picha na Damian Masyenene Mwanza.
Tanzania imekuwa ikizalisha kahawa aina ya Arabika na Robusta. Maeneo ya kilimo cha Arabika ni Kilimanjaro, Arusha, Tanga, Iringa, Mbeya, Kigoma, Manyara, Mwanza, Katavi, Mara, Njombe, Songwe, Rukwa, ...
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Annamringi Macha amesema wananchi wa mkoa huu walikuwa wakitegemea uwanja mdogo uliopo Kahama na wakati mwingine kulazimika kwenda Mwanza na eneo hili halina mgogoro wananchi ...
Picha na Saada Amir Katibu wa Chadema Mkoa wa Mwanza, Boniface Nkobe amesema baada ya kuzungumza na vyombo vya habari kuhusu suala hilo, Mkuu wa Mkoa aliwaalika kwa mazungumzo. Katika kikao hicho, ...
UNAKUMBUKA kauli iliyotolewa hivi karibuni na mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda kuwa kuna wachezaji wa timu ya Pamba Jiji wanaowachunguza ... Bodi inatoa onyo kali kwa sababu wanaofanya hivyo ...