Mafuta haya hayawezi kupunguzwa kwa kupitia lishe bora au mazoezi. Daktari wa Upasuaji na Mwanzilishi wa Taasisi ya Lipedema, Dk. Fábio Kamamoto, huko São Paulo, anasema: "Tunashuhudia wanawake wenye ...
Dimpozi za kiunoni Kwa mujibu wa tafiti za wataalamu wa afya dimpozi za kiuno, zinahusishwa na maumbile ya watu wenye asili ya miili membamba na hutumika kuonyesha uwiano sawa baina ya umri na uzito ...