Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) imeendelea kung’ara baada ya kushinda tuzo mbili za umahiri zilizotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kwa mwaka ...