资讯
SAA chache baada ya uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro kumlima barua na kumtaka ajieleze ndani ya siku 14 Mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, Lembruce ...
APRILI 7 mwaka 1972 visiwa viwili vya Unguja na Pemba pamoja na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huzuni kubwa ilitanda kutokana na kuuawa kwa kupigwa risasi Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa ...
Simba SC ya Tanzania itavaana na timu pendwa ya Kombe la Shirikisho la CAF, Stellenbosch FC kutoka Afrika Kusini katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF, baada ya timu zote ...
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia ...
KIUNGO wa Singida Black Stars, Mohamed Damaro,22, anaamini klabu yake ina nafasi kubwa ya kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao, hasa Kombe la Shirikisho Afrika, endapo watamaliza nafasi ya pili ...
Ni kosa kuuza mafuta bila kuweka mabango ya bei yanayoonekana vizuri kwa wateja," imesema taarifa hiyo ya Ewura, iliyosainiwa na Mkurugenzi Mkuu, Dk James Mwainyekule. Mratibu wa zamani wa mashindano ...
Kwa mujibu wa shirika la habari la AFP ni kwamba umati wa watu walipeperusha bendera za Iran na Palestina pamoja na zile za kundi la wanamgambo wa Lebanon wa Hezbollah wakiwa na mabango ya ...
DAR ES SALAAM; SERIKALI ya Awamu ya Sita imepata mafanikio katika mapambano dhidi ya rushwa kwa kipindi cha mwaka 2023/24. Kauli hiyo imetolewa leo Machi 27, 2025 na Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, ...
SWALI ambalo huko mtaani mashabiki wanajiuliza ni kwamba, hiyo mechi ya Kariakoo Dabi ipo au haipo? Hiyo ni baada ya kuahirishwa kwa mchezo huo namba 184 wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Simba ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果