Lori la mizigo na lori lililobeba Petrol na disel yakiteketea kwa moto baada ya kugongana uso kwa uso usiku wa kuamkia leo Machi 4, 2025 eneo la Nane Nane barabara ya Morogoro -Dar es Salaam. Picha ...
Matumizi ya gesi asilia kwenye magari kawaida huokoa gharama kwa zaidi ya asilimia 50 ikilinganishwa na dizeli na petroli. Kwanza, gesi huuzwa bei ya chini, lakini unywaji wake sio mkubwa kama ilivyo ...