Profesa Adolf Mkenda amesema kiongozi huyo alifundisha watu wengi na amefahamiana naye wakati akiwa kiongozi wa Serikali ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). “Wakati huo nikiwa ...
“Mwaka 1976 ilipoanza idara akaanza kuajiri wataalamu wa kumsaidia, miongoni mwa watu wa mwanzo alikuwepo Profesa Kessy (marehemu), aliyekuwa mkuu wa chuo cha KCMC,” amesema. Wengine ambao aliwataja ...