VINARA na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga, wanatarajiwa kuzindua Uwanja wao mpya wa Singida Black Stars uliopo Mtipa mjini Singida, katika mchezo wa kirafiki utakaochezwa Jumatatu ijayo ya ...
LONDON, ENGLAND: BOSI mpya atakayesimamia usajili Arsenal, Andrea Berta yupo tayari kumvuta kikosini Bruno Guimaraes ikiwa ni sehemu ya kuunda upya safu ya kiungo ya timu hiyo na kuleta watu wa maana.
Muonekano wa uwanja mpya wa Manchester United utakavyokuwa, utajengwa pembeni ya uwanja wa Old Trafford. Manchester, England. Manchester United imepanga kujenga Uwanja mpya ambao utakuwa na uwezo wa ...
Nairobi. Geoffrey Odundo ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Nation Media Group (NMG). Akitoa tangazo hilo kwa niaba ya bodi leo Jumatatu, Machi 10, 2025, Mwenyekiti ...
Yuji Iwasawa anamrithi Nawaf Salam, Waziri Mkuu mpya wa Lebanoni. Yuji Iwasawa atachukua nafasi ya mkuu wa mahakama ya Hague hadi muda wa Nawaf Salam utakapokamilika tarehe 5 Februari 2027.