资讯

Tetemeko jengine la ardhi lenye ukubwa wa 5.1 kwenye kipimo cha Richter limepiga mji wa pili kwa ukubwa Mnyanmar ikiwa ni la hivi karibuni baada ya tetemeko kubwa kutokea siku mbili zilizopita.
Wapiganaji wa kiislamu wa kundi la Al Shaabab nchini Somalia, hapo jana waliripotiwa kushambulia mji muhimu unaotuimiwa na serikali kuratibu operesheni za kijeshi dhidi ya kundi hilo, hatua ...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amebaini kuwa ufungaji na matengenezo ya alama za barabarani na taa za kuongoza magari uliofanywa na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) na ...
Mbunge wa Njombe Mjini (CCM), Deodatus Mwanyika. Mbunge wa Njombe Mjini (CCM), Deodatus Mwanyika amesema kutokana na Mji wa Njombe kukua kwa kasi, uhitaji wa ardhi ni mkubwa na hivyo kuomba serikali ...
Kwa miaka mitatu, mji wa Djibo, mji mkuu wa jimbo la Soum kaskazini mwa Burkina Faso, umekuwa chini ya vizuizi vilivyowekwa na wanajihadi. Haiwezekani kwa wakazi kuingia au kutoka katika mji huo ...
Shambulio la kombora la Urusi katika mji wa Sumy wa Ukraine siku ya Jumapili linatajwa kuwa baya zaidi dhidi ya raia wa nchi hiyo Afrika Kusini yateua mjumbe maalum wa kurahisisha uhusiano wake na ...
Takriban watu 32 wameuawa na 84 kujeruhiwa, wakiwemo watoto 10, baada ya shambulio la Urusi katikati mwa mji wa Sumy, kulingana na mamlaka ya Ukraine. Abdalla Seif Dzungu & Leila Mohammed Chanzo ...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imebaini kasoro tano katika mfumo wa ukusanyaji na uwasilishaji wa kodi ya zuio katika halmashauri. Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Crispin Chalamila ...
Iringa. Serikali imeeleza kutoridhishwa na baadhi ya wamachinga kurejea katikati ya mji wa Iringa kinyume na maelekezo ya awali kwamba, waende kwenye maeneo rasmi yaliyotengwa kwa ajili yao. Kauli ...
Mbunge wa kuteuliwa, Shamsi Vuai Nahodha amesema mfumo wa elimu ya vyuo vikuu nchini, una kasoro na bila kuzitafutia ufumbuzi hajui Taifa linaelekea wapi. Mbunge wa Kongwa (CCM), Job Ndugai amesema ...
Maeneo yaliyoathiriwa zaidi ni Bago, Magway, Mandalay, maeneo ya kaskazini-mashariki ya Shan na Sagaing pamoja na mji mkuu, Naypyitaw. Mawasiliano ya intaneti yamekumbwa na zahma kwenye mji wa ...
1.4月19日,天工Ultra在北京人形机器人创新中心研发的首个人形机器人半程马拉松中夺冠,用时2小时40分42秒。 2. 天工Ultra具备开源开放性和兼容扩展 ...