Mji uliodhibitiwa na waasi hao ni Walikale, wakazi kwenye eneo hilo wamethibtisha ambapo wameongeza kuwa kulikuwa na makabiliano kwa saa kadhaa. Vyanzo vya kijeshi vimedai kuwa waasi hao walikuwa ...
Goma. Takriban vikundi vitatu vya wapiganaji wa kundi la wazalendo wanaoliunga mkono Jeshi la Serikali ya Jamhuri Kidemokrasia ya Congo (FARDC) Kivu Kaskazini wameasi na kujiunga na muungano wa ...
Baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuufungia Uwanja wa CCM Kirumba uliopo jijini Mwanza kutumika kwa mechi mbalimbali, imebaibishwa kuwa eneo la kuchezea (pitch), kukosekana kwa maji, huduma ...
Kiongozi wa kijeshi wa Myanmar Jenerali Mwandamizi Min Aung Hlaing anasema nchi hiyo itafanya uchaguzi mkuu mnamo mwezi Disemba mwaka huu ama Januari mwakani. Kituo cha televisheni kinachoendeshwa ...
Serikali ilibaini kasoro kwenye programu hiyo mwaka 2019. Mwaka jana, Uingereza iliidhinisha sheria ya kuwafutia mashitaka na kulipa fidia waathirika wote wa kashfa hiyo.
Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga, Jumamosi, Machi 08, 2025 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam limechukua sura mpya kufuatia uongozi wa ...
Moshi. Wananchi wa mji mdogo wa Himo, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro waliokuwa wakitembea umbali mrefu na kutumia gharama kubwa kufuata huduma ya X-Ray sasa imemalizika baada ya Serikali kupeleka ...
WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umefuta usajili wa kampuni 11 za LBL chini ya kifungu 400A cha sheria sura 212 mara baada ya kampuni hizo kufanya shughuli za kibiashara nje ya ...