资讯

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imebaini kasoro tano katika mfumo wa ukusanyaji na uwasilishaji wa kodi ya zuio katika halmashauri. Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Crispin Chalamila ...
Goma. Kundi la waasi wa M23 limetangaza kuutwaa Mji wa Walikale nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na kuvifurusha vikosi vya Jeshi la Serikali ya nchi hiyo (FARDC). Taarifa ya M23 ...
Arusha. Mahakama ya Rufani imebatilisha mwenendo wa kesi na kufuta hukumu ya adhabu ya kunyongwa hadi kufa waliyokuwa wamehukumiwa wakazi watatu wa Bukoba mkoani Kagera, baada ya kubaini kasoro za ...