资讯
Halmashauri ya jiji la Tanga, imetajwa kuongoza kwa usafi kwa kupata asilimia 83.2 ya alama zote. Ikishindanishwa na halmashauri sita za majiji zilizopo nchini.
Aliyekuwa Kamanda wa Polisi katika Mikoa ya Kilimanjaro, Pwani na Mara kama Kamanda wa Polisi wa Mkoa (RPC), Absalom Mwakyoma ...
Ulaji wa vyakula vyenye wanga kwa wingi pamoja na vyakula vitamu na vizuri kwa macho kama Burger, Pizza na Chips Mayai vina ...
Hali si shwari kwa Mbunge wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, Dk. Charles Kimei (CCM) baada ya baadhi ya wananchi wa jimbo ...
Ikiwa imepita takribani miaka miwili tangu Rais Samia Suluhu Hassan azindue filamu ya The Royal Tour, viongozi wa hifadhi tatu kubwa nchini wanatamani kuona filamu hiyo, au nyingine ikifanyika.
WATUMIAJI wa Barabara Kuu ya Himo Njia Panda – Moshi – KIA Njia Panda wanataarifiwa kwamba kumetokea uharibifu wa barabara ...
Mkurugenzi Mtendaji wa MUWSA Mhandisi Kija Limbe. Mahakama ya mwanzo Wilaya ya Moshi Mjini imemuhukumu kifungo cha mwaka mmoja jela Shafii Kondo (56) mkazi wa mtaa wa Kiusa kwa kosa la kuiba mita za m ...
Katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, Shilingi ya Tanzania ilishuka thamani kwa asilimia 3.6. Lakini kuanzia Julai hadi ...
Hii ni mechi ya kwanza kuzikutanisha Yanga na Simba baada ya Stephane Aziz Ki kumuoa mwanadada Hamisa Mobetto na ikiwa atafunga bao, atafuata historia ya nyota wa zamani wa Yanga, Iddi Moshi. Agosti 5 ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果