资讯

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla akizungumza kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan alipomwakilisha kufungua mkutano wa moyo na mishipa ya damu unaofanyika Zanzibar Unguja.