资讯

Mawasiliano ya barabara kati ya Jiji la Mwanza na Mkoa wa Shinyanga yamekatika usiku wa kuamkia leo baada ya daraja la Mkuyuni kusombwa na maji kufuatia mvua kubwa iliyonyesha maeneo hayo. Daraja hilo ...
Wakazi wa Mwanza wakipita kwenye ukingo wa Daraja la Mkuyuni baada ya kina cha maji kupungua kufuatia kufurika maji usiku wa kuamkia leo Jumanne Aprili 8, 2025 na kukata mawasiliano. Picha na Mgongo ...