Mchanganyiko wa pilipili kichaa zinazo changanywa na tura au ndulele zilizokomaa na kuwa na rangi ya njano ni dawa asili ya kuua wadudu ndani ya nafaka. Wakulima kutoka kijiji cha Ngulu wilayani ...