Kamishna wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Dkt. Elirehema Doriye amewataka watumishi wa mamlaka hiyo kuongeza ...
Walioteuliwa ni Dk Aggrey Mlimuka ambaye ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Ushindani (FCC). Profesa Othman Chande Othman naye kuendelea na nafasi ya uenyekiti wa Bodi ya Shirika la Viwango ...
Rais Samia pia amemteua Uledi Mussa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kipindi cha pili. Profesa Zacharia Mganilwa ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uongozi wa Chuo ...