Miaka ya hivi karibu imekuwa sio jambo geni kusikia nyimbo mpya za Bongofleva zikiwa na vionjo vya nyimbo za kitambo ... Bachela ulichukuliwa vionjo na Harmonize kuvitumia katika ngoma yake, 'Wife' ...