TANGA; Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi jengo la Halmashauri ya Wilaya yaBumbuli katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi Lushoto mkoani Tanga leo Februari ...
Kenya. Waumini wawili wanawake, Mercy Rono (38) na Mercy Cherotich (30) kwa sasa wanauguza majeraha baada ya kutandikwa viboko na mchungaji wao, aliyedai kuwatoa mapepo kwa njia hiyo. Kwa mujibu wa ...
akiwa kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanza kwa mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake Tanzania (Female Future Program) pamoja na Mahafali ya Wahitimu wa Awamu ya 10 ya Mafunzo hayo katika ukumbi wa ...
Dar e Salaam. Wakati mikoa ya Ruvuma na Njombe ikitarajiwa kupata mvua mkubwa ndani ya saa 24 zijazo, hali ya joto itaendelea kutikisa Zanzibar na mikoa ya Dar es Salaam na Tanga. Hiyo ni kwa mujibu ...