资讯

Tumeshinda lakini sijafurahia', mmoja wa mashabiki wa Simba SC ya Tanzania, baada ya kipyenga cha mwisho cha mchezo wao dhidi ya Stellenbosch FC katika mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Kombe la ...
SIMBA inatarajia kuikaribisha Stellenbosch FC kutoka Afrika Kusini katika mechi ya kwanza ya hatua ya nusu fainali ya mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika itakayochezwa leo kuanzia saa 10:00 jioni ...
Katika ardhi yenye ladha ya bahari na harufu ya historia, Zanzibar patakuwa na mchezo wa haja Jumapili hii: Simba SC ya Tanzania wakikabiliana na wageni waliokuja kushangaza, Stellenbosch FC ya ...
ZANZIBAR; JEAN Charles Ahoua ameitanguliza Simba tayari huko Zanzibar. Pengine ndivyo unavyoweza kuzungumzai mchezo kwa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba ya Tanzania ...
HAIKUWA kazi nyepesi kwa beki wa Simba, Chamou Karaboue kupata nafasi kwenye kikosi hicho mbele ya mabeki, Che Malone Fondoh na Abdulrazack Hamza ambao ndio walinzi tegemeo wa kati. Huu ni msimu wake ...
Unakumbuka mwaka 1993 wakati Simba inacheza fainali ya Kombe la CAF ambalo baadaye 2004 likaunganishwa na Kombe la Washindi kisha kuzaliwa Kombe la Shirikisho Afrika? Basi kwa kukukumbusha tu ni ...
ZANZIBAR; SEHEMU ya mashabiki wa Simba waliojitokeza Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar tayari kushuhudia mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya timu hiyo na ...
Unakumbuka mwaka 1993 wakati Simba inacheza fainali ya Kombe la CAF ambalo baadaye 2004 likaunganishwa na Kombe la Washindi kisha kuzaliwa Kombe la Shirikisho Afrika? Basi kwa kukukumbusha tu ni ...
Pamoja na kupata ushindi kiduchu wa bao 1-0 dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, Simba bado ina nafasi kubwa ya kutinga hatua ya fainali ya kombe la ...