资讯
Waliowekewa puto tumboni hadi sasa ni 200. Kufungwa kwa vifaatiba vya kisasa, kuwapo watalaam, dawa na maabara za kisasa zenye vifaa na vitenganishi, dawa na vitendanishi katika hospitali kubwa za ...
AZAM FC inaendelea kupigania heshima yake, ambapo tumaini kubwa lililobaki sasa ni kumaliza katika nafasi ya tatu, ingawa kimahesabu bado inaweza kumaliza ya pili baada ya kuukosa rasmi ubingwa wa ...
Kigoma. Mahakama ya Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, imewahukumu watu watatu, akiwemo Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa) wa wilaya hiyo, Benjamin Brighton kulipa faini ya ...
Siku 100 za huzuni ambapo kiza bado kinatanda katika nchi hii ya Maziwa Makuu ya Afrika, licha ya kazi ya maridhiano isiyo na mwisho. Sherehe rasmi zinaanza Aprili 7 - siku ya mauaji ya kwanza ya ...
Simba ina kibarua kizito Jumatano hii dhidi ya Al Masry huku ikifahamu kwamba ili kuvuka moja kwa moja kucheza nusu fainali, inapaswa kushinda kuanzia mabao 3-0. Kutokana na deni hilo walilonalo ...
Ikiwa imesalia mwaka mmoja tu kandarasi ya sasa ya Safari Rally kwenye mashindano ya dunia WRC kutamatika, washikadau, wafanyabiashara na mashabiki wanaitaka serikali ya Kenya kurefusha mkataba ...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) imesema kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa katika utoaji huduma za afya ambapo kwa sasa Mkoa wa Kigoma umeanza kutekeleza mpango wa serikali wa huduma za tiba kuwa sehemu ya ...
SWALI ambalo huko mtaani mashabiki wanajiuliza ni kwamba, hiyo mechi ya Kariakoo Dabi ipo au haipo? Hiyo ni baada ya kuahirishwa kwa mchezo huo namba 184 wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Simba ...
MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango ametoa futari kwa wajane na yatima zaidi ya 300 katika Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma. Futari hiyo imetolewa na shekhe wa Mkoa Kigoma, Hassan Kiburwa kwa niaba ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果