Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imetembelea mradi wa upanuzi wa mtandao wa maji ya Ziwa ...
Akizungumza katika ziara hiyo, Aweso amesisitiza umuhimu wa kutunza miundombinu katika kipindi hiki ambacho mamlaka inaendelea na mchakato wa kuwaunganishia wananchi huduma hiyo.
Harakati za kumkomboa mwanamke na kulinda haki zake zimeanza kuzaamatunda huku juhudi zaidi zikihitajika ili kuleta usawa wa ...
"Nilitokwa machozi ya furaha, sikutarajia jambo hili, maana tulisubiri kwa muda mrefu, lakini wakati wa Mungu ni wakati ...
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania ni Msimamizi wa Mpango Maalum wa Nishati Safi Afrika Amesema hayo wakati ...
Alisema mradi huo utakapokamilika utasaidia wananchi wengi kupata nishati safi na kupunguza matumizi ya nishati ya kuni na mkaa ambazo si ... Jana, Rais Samia alihitimisha ziara yake ya siku saba ...
Rais Samia amezindua awamu ya pili kwenye Uwanja wa CCM Jitegemee wilayani Muheza jana akiwa kwenye siku ya tano ya ziara yake ya siku saba mkoani Tanga. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala ... ya ...
Azam ndio ilikuwa ya kwanza kupata bao dakika ya kwanza tu mfungaji akiwa winga Djibril Sillah aliyepokea krosi safi ya mwenzake Idd Seleman 'Nado', kisha mfungaji kupiga ... Matokeo hayo yanaifanya ...
IT之家2 月 18 日消息,法国 AI 初创企业 Mistral AI 当地时间昨日宣布推出其首个专业区域语言模型 Saba。该模型在源自中东与南亚的精选数据集上训练,能以相对较小的规模为上述区域用户提供更准确、相关的回应。 Saba 模型参数规模为 32B,支持本地单 GPU 系统部署。