资讯

Wajumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) wametoa pongezi nyingi kwa Uongozi wa Gereza Kuu la mkoa wa Arusha kwa kutoa ...
Kitendo cha Pamba ambayo ilikuwa kwenye nafasi mbaya kupata ushindi huo kimeifanya timu hiyo kusogea hadi nafasi ya 11 ikiwa na pointi 30 kwenye msimamo, huku Kagera ikibaki nafasi ya 14 ...
Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema hadi kufikia mwezi Machi 2025 takribani Shule za Serikali 216 zimehamia katika ...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema ujenzi mradi wa maji utakaosainiwa ...
Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limelaani shambulio la asubuhi katika hospitali yake huko Old Fangak, kaskazini mashariki mwa jimbo la Jonglei. MSF imesema helikopta za kivita zilirusha ...
KOCHA wa timu ya JKU, Haji Ali Nuhu amekubali matokeo ya kulikosa taji la Muungano walililolipigia hesabu mapema, lakini akiwapongeza wachezaji wa timu hiyo kwa kujitoa na kuonyesha ...
Hata hatuna maji safi ya kunywa wala vitu muhimu vya kulalia kama mikeka au magodoro. Walituibia punda wetu saba. Tuko kwenye hali mbaya sana—hasa watoto." Pia usambazaji wa misaada ya WFP umefika ...
IRINGA; WATU saba wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa baada ya kutokea ajali ya barabarani iliyohusisha gari la wagonjwa lenye namba za usajili STM 7840 na pikipiki ya magurumu matatu ya kubeba ...