Ndugu wa Waasyria wawili walioteswa na kuuawa na utawala wa Bashar al-Assad amezungumza kuhusu uchungu uliosababishwa na kutoweshwa kwao kwa lazima wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.
KATIKA soka mara nyingi wachezaji hupitia mabadiliko kwenye majukumu yao hasa wanapokutana na ushindani mkubwa wa namba. Hali hiyo imekuwa ya kawaida kwa wachezaji wengi wakubwa duniani, na pia ...
Rais wa Cop16 apongeza juhudi za wajumbe katika kupata makubaliano Akizungumzia mafanikio ya mkutano wa Roma, rais wa Cop 16 Susan Muhamad ametoa pongezi kwa washiriki wote kwa kuufanikisha ...