资讯
DAR ES SALAAM – VIONGOZI wa dini ya Kikristo katika Ibada ya Ijumaa Kuu wamewataka waumini kutafakari maisha yao kwa kina, kusimama katika ukweli, haki na kutubu dhambi kwa moyo wa toba ya kweli.
Tume huru ya Umoja wa Mataifa ya kusaka ukweli kuhusu Sudan imelaani mauaji ya watu zaidi ya 100 yaliyotekelezwa katika kambi za wakimbizi wa ndani huko Darfur mwishoni mwa wiki na kuonya kwamba mzozo ...
Kuna uvumbuzi wa kisayansi ambao husaidia kuendeleza ujuzi wetu: hufanya mabadiliko katika ubongo wetu kama vile kutuonyesha ukubwa wa Ulimwengu na nafasi yetu ndani yake. Wakati mmoja kama huo ni ...
Geita. Padri Albert Kusekwa wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu Jimbo Katoliki la Geita, amewataka viongozi wa kisiasa, kijamii na kidini kusimama imara katika kutetea ...
Walakini, baada ya kukagua ukweli kwa uangalifu, habari hii ni ya uwongo kabisa na isiyo na msingi. Katika mahojiano ya kipekee na Kivutimes, Luteni Marc Elongo, msemaji wa FARDC katika sekta ya ...
Kitengo cha kuhakiki habari kutoka washirika wetu wa France 24- Observers, kiliwasiliana na idhaa hii na moja kwa moja kukanusha madai haya. "Kama tunavyojua, haitokani na ukweli," SABC News ...
Watu 34 waliuawa katika shambulio lililoulenga mji wa Sumy, Kaskazini-Mashariki wa Ukraine, na wengine 117 wakijeruhiwa. Migogoro 14.04.2025 14 Aprili 2025 Ujerumani yatoa wito kwa vijana wajiunge ...
"Msingi wa mabadiliko haya ni ukweli mmoja: ulinzi wa amani lazima ubaki katika mchakato wa kisiasa. Teknolojia, mafunzo, na zana ni bora tu ikiwa kuna utashi wa kisiasa miongoni mwa pande ...
Anasema ni rahisi kulaumu kwamba wanaume hawatunzi afya zao, kwa mtindo wao wa maisha, lakini anasema "ukweli wa mambo ni zaidi ya jambo hilo." Prof White anasema: "Wanaume hawana ujuzi wa kutosha ...
Kila mtu alifanya kazi. Kila mtu alizalisha mali, kuanzia watoto wa umri mdogo hadi wazee. Hawakuwepo ombaomba barabarani. Hawakuwepo panya rodi. Watu walifanya kazi. Nyerere alipokuja na kauli mbiu: ...
kwa kuwa ndiyo msingi wa amani. "Sisi kama nchi tunafurahia amani, tunasema tuna amani na ni kweli, tuna amani kwani hatuna vita hatuna magomvi, amani iendane na upendo, iwe zao la ukweli na amani ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果