News

Sayari kubwa ya kutosha kuharibu jiji kwa mfano Dar es Salaam ama Nairobi iwapo itaanguka, itapita kati ya mizunguko ya Dunia na Mwezi mwishoni mwa wiki hii. Sayari hiyo iliyopewa jina la 2023 DZ2 ...
Licha ya kwamba ni mbali sana, kugunduliwa kwa sayari hiyo huenda kukasisimua hisia na mawazo ya binadamu na wanasayansi kuhusu kuwepo kwa viumbe katika sayari nyingine au uwezekano wa wakati ...