Ili kuendelea kuwavutia watalii wa ndani na nje ya Tanzania, Hifadhi za Taifa za Serengeti na Tarangire zinakusudia kuanzisha vivutio vipya, ikiwemo utalii wa usiku na kuwabainisha tembo ...
Maelfu ya nyumbu ambao huwa kivutio kikubwa cha watalii katika mpaka wa Kenya na Tanzania wanaripotiwa kurejea Tanzania mapema kuliko ilivyo kawaida yao, na ghafla kuanza kurejea Kenya. Wanyama ...
Tuzo hizo hutolewa na kampuni hiyo inayoshushughulika na kutoa mrejesho wa mahoteli na vivutio mbalimbali duniani. Hifadhi tatu nchini Tanzania zimeibuka kidedea kati ya hifadhi 25 zilizotajwa ...