Pauni milioni 50 zaidi bado zinapaswa kulipwa. "Uingereza ilikuwa imeiomba Rwanda kuachilia mbali malipo hayo kimyakimya kwa msingi wa uaminifu na nia njema iliyopo kati ya mataifa yetu mawili ...
Kwa sasa ubashiri umehifadhiwa." Vatican ilisema kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 88, alikuwa macho na kwenye kiti chake cha magurudumu, lakini alihitaji oksijeni ‘’kwa kiasi kikubwa’’ na bado yuko ...
BAADA ya jana kushuhudia michezo miwili ya Ligi ya Championship, kipute hicho kitaendelea tena leo kwa mingine mitatu kupigwa kwenye viwanja mbalimbali, ikiingia mzunguko wake wa 20, kwa lengo la ...
Rimoy ametoa taarifa hiyo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya kuwa upelelezi wa kesi hiyo bado unaendelea. Kutokana na hali hiyo, hakimu Lyamuya aliahirisha kesi hadi Machi 17, 2025 itakapotajwa ...
Dar es Salaam. Zimebaki siku mbili dirisha la maombi ya nafasi mpya za ajira za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) lifungwe. Maombi ya ajira hizo yalifunguliwa rasmi Februari 6, 2025 na yanatarajiwa ...