资讯

MABAO 10 aliyofunga mshambuliaji wa Kitanzania, Simon Msuva kwenye klabu ya Al Talaba yameifanya timu hiyo kusalia nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi. Hadi sasa Ligi ya Iraq zimebaki mechi tano ...