资讯

Mzee Karume wakati anauawa, alikuwa ana cheo kingine kikubwa. Ndiye alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais wa Tanzania, Hayati Mwalimu Julius Nyerere. Luteni wa Jeshi ...
“CHA kuwapeni mimi sina, Mungu atawalipa” maneno ya mzee Hamisi Seleman mkazi wa Mtwara Mjini, mkoani Mtwara baada ya kujengewa nyumba yenye hadhi na kutolewa kwenye nyumba chakavu aliyokuwa akiishi.
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. KOCHA ...
Mti mkubwa wa mcheri, unaoaminika kuwa na umri wa miaka 1,000, umechanua kwa ukamilifu katika mji wa Maniwa, mkoani Okayama magharibi mwa Japani. Mti huo wa mcheri wa Daigo-zakura una urefu wa ...
Katika historia ya mamlaka ya kitaifa ya soka nchini, kuanzia FAT hadi TFF, ni Leodeger Tenga pekee ndiyo aliongoza na kumaliza muda wake kwa amani kabisa. Wengine wote waliishia kutolewa kwa nguvu na ...
Iringa. Mzee Pascal Ndanga, (90), ambaye ni mkazi wa mtaa wa Kijiweni, Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, ameendelea kuwa mfano wa kupenda habari, akitembea kila siku umbali wa kilomita 2 ili kufuata ...