资讯
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kuwa kuanzia kesho, Jumamosi Aprili 5, 2025, baadhi ya noti za zamani hazitatambulika tena kama fedha halali. Zoezi la kuziondoa noti hizo lilianza Januari 6, ...
Kwa matokeo yake toka hatua za awali mpaka sasa wameingia nusu fainali ... Katika Kombe la Klabu Bingwa Afrika (zamani), Simba ilishiriki mara 9 na kufika robo fainali mara mbili, mwaka 1974 ...
Gwiji huyo wa Old Trafford, Scholes ametengeneza utamaduni wa kuwa mkosoaji mkubwa dhidi ya wachezaji wa klabu yake ya zamani wa Man United kwa miaka ya hivi karibuni ambapo mambo yamekuwa yakienda ...
Morocco imekuwa ikimiliki koloni za zamani za Hispania ila imepingwa na vugugu la Polisaria Front linaloungwa mkono na Algeria,Algeria ikiwa imesitisha uhusiano na Morocco tangu mwaka 2021.
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kesho ni ukomo wa kutumia noti za zamani. Kupitia ukurasa wake katika mtandao wa kijamii wa X, BoT imetangaza kuwa ubadilishwaji wa noti za zamani ulianza ...
Majadiliano hayo ya siku mbili kuhusu sera za maendeleo endelevu, yaliyoandaliwa na Club de Madrid, yamehitimishwa leo jijini Nairobi. Mkutano huo umejikita katika suala la ufadhili wa maendeleo na ...
“Nguo za closet zinakuwa kama enzi za zamani, hakukuwa na huduma ya kuweka chuma, mtu akivunjika mguu au kuteguka. Kuna tiba iliyokuwa ikitumika miti inafungwa kwa pembeni na inakazwa ili mguu ...
SIMIYU; MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjibu kiongozi mstaafu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe kuwa CCM haibishani na CHADEMA kwa kuwa iliwaambia wazungumze ...
Kijana mmoja mjuzi wa taarifa za kumbukumbu za zamani mwenye ujuzi wa ubishani ambaye akiamua kubishana na wewe uwe umejipanga kwani sio rahisi kukubali matokeo, aliyetua Azam kuchukua nafasi ya ...
Michael Varnum, mkuu wa eneo la saikolojia ya kijamii na profesa mshiriki katika Chuo Kikuu cha Jimbo la Arizona, hivi majuzi alishiriki chapisho la maoni lililopendekeza kutumia AI ya uzalishaji ...
Kenya Airways pia imebadilisha ndege zake za zamani na zile za kisasa ambazo zinarahisisha usafiri wake. Kenya Airways, mojawapo ya mashirika makubwa zaidi ya ndege barani Afrika, imeripoti ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果