Shughuli za mazishi ya Katibu Mkuu wa zamani wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Juma Mwapachu, zimeanza nyumbani kwa baba yake, maeneo ya Chumbageni jijini Tanga, huku viongozi ...
KWENYE soka la Tanzania kwa sasa ukitajiwa jina la Zaka Zakazi akili yako itahamia sehemu mbili tu. Utajiuliza labda ...
DAR ES SALAAM: WATANZANIA watano huenda wakabadilisha mwelekeo wa maisha yao ikiwemo kujikwamua kiuchumi baada ya kila ...
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kati ya mwaka 2006 na 2011, Balozi Juma Volter Mwapachu, ...
Maambukizi ya kifua kikuu yanaweza kuenezwa kwa urahisi katika miji mikubwa na maeneo ya umma ambapo kuna mkusanyiko mkubwa ...
Getorare na Watanzania wengine wanaweza kupata jibu matokeo chanya anayotaja Rais Samia, yatakapokuwa kwa upana wake na ...
Kikosi cha Simba kinatarajia kuondoka Machi 28,2025 kuifuata Al Masry nchini Misri kwa mchezo wao wa robo fainali ya Kombe la ...
Kiwanda cha kusindika mbogamboga, matunda na viungo cha Mbeya (Mbeya Food Park) kilikuwa eneo sahihi kuhitimisha AGRI-CONNECT ...
Mechi ya ufunguzi ya kusaka tiketi ya kucheza michuano ya dunia ya ICC Ligi B kati ya Tanzania na Mali lilikuwa ni gumzo ...
Shirika la Ndege la Precision Air Tanzania limezindua rasmi safari yake mpya ya ndege inayounganisha Dar es Salaam, Dodoma, na Iringa. Uzinduzi huo umefanyika leo, Machi 3, 2025, mkoani Iringa, ...
Mashindano ya dunia ya kukimbiza magari, Safari Rally yanaendelea nchini Kenya. Madereva mbalimbali  kutoka  duniani, ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema jamii inapaswa kuwa na mtazamo mpya na kuangalia ufundi stadi ...