Tanzania kama ilivyo kwa nchi zingine za Kusini mwa Jangwa la Sahara ina idadi kubwa ya mifugo ya asili kuliko iliyoboreshwa. Hivyo, kaya zinazojishughulisha na ufugaji zinafuga mifugo ya asili.
Mwanza. Ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ndani ya Ziwa Victoria umetajwa kuwa hatarini baada ya gugu maji jamii ya Salvinia SPP kuendelea kuzaliana kwa kasi. Gugu maji hilo lililobainika hivi ...
"Kwa msaada wa kilimo hiki, sasa naweza kukidhi mahitaji ya shule kwa watoto wangu. Elimu ni muhimu sana kwangu. Ninajivunia kuona watoto wangu wakikua na ndoto zao." Hadija awali alifuga mbuzi wa ...
“SERIKALI inaruhusu kisheria ufugaji wa wanyamapori wakiwamo fi si, lakini kanuni na sheria haziruhusu kufuga mnyamapori mmoja mmoja, badala yake zinaruhusu kufuga wanyamapori kwa ngazi ya bustani au ...
Akizungumza na wana vijiji hao mwishoni mwa wiki, wakati wa hafla ya kukabidhi mbuzi 326 kwa vikundi vya wajasiriamali wa ufugaji, Msimamizi wa Mradi wa SOKNOT (Southern Kenya, Northern Tanzania), ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果