Ikiwa ulidhani Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu yupo kwenye siasa pekee, unakosea sana. Mwanasiasa huyo anasema yeye ni mpenzi wa michezo kama riadha na tenisi, ...